"==>We Intend to Become a Number 1 Blog in Entertainment News, Celebrity Pictures and Social Events in Tanzania. BURUDIKA.."

Wednesday, January 29, 2014

Hili Toto Kutoka Sauzi ni Balaa Tupu Hili Dah !!!


Mwanamke Kama Huyu Ndo wa Kuoa Sasa Kwani Ameshapitia Yote i.e. "She Has Been There Done That". Haki ya Nani Ukimuoa Huyu Atatulia Ndani Tuliii Kama Maji ya Mtungini !!!


Ishu ya huyu mchumba inapatikana HAPA

Haki ya Nani Leo ni Kutokelezea tu !!!

Bongo Bwana ni Raha Sana...Ukikwapua Simu Waweza Bondwa Mpaka Kufa...Ukifisadika Unasifiwa na Kuitwa "Mjanja"....Mh !!!


Ishu kamili HAPA

Kuanzia Sasa ni Kila Siku...Angalia Usije Ukapitwa Basi !!!