Latest Updates

Vanessa Mdee’s New hair style is inspired by the late Brenda Fassie



Vanessa debuted a new hairstyle jana ,she is rocking braids kwa sasa
and moja ya caption zake aliandika Channeling Brenda Fassie with a hint of Nefertiti ,Nefertiti alikuwa mke wa mfalme wa Egypt.

Walienda kwa kipindi cha XXL kufanya review ya nyimbo yao mpya JUU aloimba na her bae Juma Jux
Accessorized her braids with beads ambazo ni za kama mbao hivi

me naona hii style pia inaendana na ile ya Solange Knowles

0 Response to "Vanessa Mdee’s New hair style is inspired by the late Brenda Fassie"

Post a Comment